JINSI YA KUCHEZA MNADA POA

(SIMU YA KAWAIDA-BILA KUINGIA MTANDAONI)

VODACOM

Simu ya kawaida bila kuingia mtandaoni

1
HATUA YA 1: Bonyeza *150*00#
2
HATUA YA 2: Chagua namba 4 (Lipa kwa m-pesa)
3
HATUA YA 3: Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni (222223)
4
HATUA YA 4: Ingiza namba ya kumbukumbu (123)
5
HATUA YA 5: Weka kiasi( Dau kuanzia Shilingi 500-10,000 na uhakikishe unaweka dau unalofikiri litakuwa lakipekee mf; 504 au 509)
6
HATUA YA 6: Ingiza namba yako ya Siri
7
HATUA YA 7: Bonyeza 1 kuthibitisha Kisha Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wakupokea muamala wako
8
HATUA YA 8: Utapokea SMS ya uthibitisho wadau lako kuwekwa. Kama dau lako litakuwa la kipekee utajulishwa au likiwasio la kipekee utapewa majibu. Ili ushinde ni lazima dau lako liwe limewekwa na wewe tu hadi mnada unapofungwa.

TIGO

Simu ya kawaida bila kuingia mtandaoni

1
HATUA YA 1: Bonyeza *150*01#
2
HATUA YA 2: Chaguanamba 4 (Lipa Bili)
3
HATUA YA 3: Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni (222223)
4
HATUA YA 4: Ingiza namba ya kumbukumbu (123)
5
HATUA YA 5: Weka kiasi( Dau kuanzia Shilingi 500-10,000 na uhakikishe unaweka dau unalofikiri litakuwa la kipekee mf; 504 au 509)
6
HATUA YA 6: Ingiza namba yako ya siri
7
HATUA YA 7: Bonyeza 1 kuthibitisha Kisha Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wakupokea muamala wako
8
HATUA YA 8: Utapokea SMS ya uthibitisho wadau lako kuwekwa. Kama dau lako litakuwa la kipekee utajulishwa au likiwasio la kipekee utapewama jibu. Iliushinde nilazima dau lako liwe limewekwa na wewe tu hadi mnada unapofungwa.

AIRTEL

Simu ya kawaida bila kuingia mtandaoni

1
HATUA YA 1: Bonyeza *150*60#
2
HATUA YA 2: Chaguanamba 5 (Lipakwa Bili)
3
HATUA YA 3: Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni (222223)
4
HATUA YA 4: Weka kiasi( Dau kuanzia Shilingi 500-na uhakikishe unaweka dau unalofikiri litakuwa la kipekee mf; 504 au 509)
5
HATUA YA 5: Ingiza namba ya kumbukumbu (123)
6
HATUA YA 6: Ingiza namba yako ya siri
7
HATUA YA 7:Kisha utapokea ujumbe mfupi wauthibitisho wakupokea muamalawako