JINSI YA KUCHEZA MNADA POA (MTANDAONI)


  1. 1. HATUA YA 1: Fungua tovuti www.mnadapoa.co.tz
  2. 2. HATUA YA 2: Kisha Chagua Mnada unaoendelea Kati ya Minada iliyopo
  3. 3. HATUA YA 3: Kama ni mara yako ya kwanza kushiriki, bonyeza ‘Jisajili’ na kama umeshawahi kuingia bonyeza ‘Ingia’ na fata maelekezo.
    • - Weka kiasi (Dau kuanzia Shilingi 500-10,000 na uhakikishe unaweka namba unayofikiri itakuwa ndogo na ya kipekee mfano: 506 ,509, 511, 629, 818 au kiasi chochote chini ya 10,000)
    • - (Ni muhimu ubonyeze (Angalia madau yasiyo ya kipekee) kabla ya kuweka dau lako ili uone madau ambayo sio ya kipekee. Hii itakusaidia kuweka dau la kipekee na dogo ukiona madau ambayo yamewekwa na watu wengine)
  4. 4. HATUA YA 4: Utapokea sms ya uthibitisho wa dau lako kuwekwa. Kama dau lako litakuwa la kipekee utajulishwa au likiwa sio la kipekee utapewa majibu.
  5. 5. HATUA YA 5: Kama mchezaji mwingine akiweka dau kama lako utajulishwa kuwa dau lako sio la kipekee hivyo uweke dau jingine
  6. 6. HATUA YA 6:Ili ushinde ni lazima dau lako liwe limewekwa na wewe tu hadi mnada unapofungwa.