KUHUSU MNADAPOA


Mnada Poa ni njia rahisi ya kupata bidhaa yoyote unayoitaka kwa dau poa zaidi. Yaani, kama bidhaa inauzwa laki 5 bei ya dukani kupitia Mnada Poa utaipata kwa dau dogo zaidi.

Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau dogo zaidi na la kipekee, yaani aidha uweke Tsh 502, Sh 531 au Sh 709. Na kama itatokea dau lako ndio dogo na la kipekee utajishindia bidhaa husika.

Cha muhimu ni kuangalia namna madau yanavyowekwa halafu weka dau lako dogo na la kipekee.Hakikisha unaangalia wachezaji wengine wameweka madau kiasi gani na pia uwe unafatilia mara kwa mara kujua kama dau lako ni la kipekee au lah.